Official Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 560
- 110
I am a Tanzanian man aged 37 years, who recently completed a degree course in Bachelor of Education in Arts, where I majored in English and minored in Geography. I have more than 10 years experience in the teaching proffesion. I am very fluent in the English Language. Any vacancy out there?
Bachelor of Education in Arts or Bachelor of Arts with Education??
Sijakusoma Mwl..ila kwa umri wako kwenye fani iyo ungekuwa mkali sidhani kama ungetafuta kazi,bali wewe ndio ungetafutwa..
Nimesoma Bachelor of Education(Arts), ila nimefundisha for more than 10 years in the private sector. Ilibidi niache kazi ili nikasome, na ndo maana natafuta kazi.
BED una teaching subjects mbili?chuo gani icho?
Anyway kama upo Dar nenda kawaone Teachers Junction wanaweza kukusaidia.
mkuu umesema uko poa kwenye english lakini hiyo heading yako na ulichoandika ndani mmhhhh.....................