English club Dodoma

English club Dodoma

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,494
Reaction score
2,540
Wakuu,

kwa members wanaoishi Dodoma naomba kupewa taarifa Kama Kuna English club inayotoa fursa ya kujifunza na namna ya kuitumia lugha ya kingereza hapo Dodoma mjini.

Natanguliza shukrani zangu
 
Back
Top Bottom