English Course ya Ukweli

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Habari ndugu zangu,
Kwanza atangulisha shukrani zang wenu, mimi n kijana niliyemaliza khidato cha 4 kibaya zaidi ni katika awamu hii ya Mulugo, shida yangu natafuta mahali pazuri nisome Kozi ya kiingereza ya muda mfupi na ya ada nafuu. Tafadhali kwa anaejua sehemu ya uhakika wanapofundisha anisaidie. Nipo dsm.
 
nenda kwenye kituo cha The Aga khan Hospital upande wa njia ya kwenda hospital utaona English Fountain wanafundisha lugha kibao vizuri. Mi nilisoma kiswahili cha kuandika ndani ya mwez nikajua.

Nenda hapo mkuu
 
Bei zao zikoje aiseee?
 
Mi nilisoma kiswahili cha kuandika ndani ya mwez nikajua.

Ndugu unamaana gani unaposema Kiswahili cha kuandika?
Umenigusa kwa hicho kiswahili cha kuandika, au hukuwa unafahamu Kiswahili?
 
Shukran kwa wazo lako zuri, naamini ni wengi wenye shida hii ukifanikiwa tafadhali tujulishe na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…