English inazingua na kuchosha

English inazingua na kuchosha

View attachment 3096041
Jamaa aliyeonekana anakuja kuokoa jahazi, upepo ukamshinda naye akazama mazima
Watanzania sisi ni malimbukeni sana. Tunadhani kuwa kuzungumza kiswahili chenye lafudhi ya kiiingereza na kuchanganya na maneno ya kiingereza basi ndiyo kuzungumza kiingereza. Ndivyo alivyofanya huya ''mwokoa jahazi''. Maneno na lafudhi ni anatamka kama mmarekani wakati anazungumza kiswahili.
 
FB_IMG_1714366676267.jpg
 
Nlienda sehemu Sala ya baba yetu uliye mbinguni.....ilipigwa kwa kingereza aisee sikuelewa chochote!😁
Our father, who art in heven. Hallowed be thy name, thy kingdom come. Thy will be done on earth as it is in heven.

Give us this day our daily bread; and forgive us our trespasses as we forgive those who trespass against us. Llead us not into temptation, but deliver us from evil.

NIMEKUMBUKA SEMINARINI O LEVEL, ENGLISH CHURCH SERVICE KILA JUMATANO
 
Kwanini mtu usijifunze kiingereza kulingana na kazi unayofanya..

Kuna clip nimeona Chino Kid kaambiwa akaribishe watu kwenye show yake kwa kingereza aiseee alichokisema alikielewa mwenyewe..

Myu anatamani kuongea kingereza ila kujifunza hataki, akihojiwa anataka apige kisw-english na hiyo english yenyewe hajui na hataki kujifunza..

Wabongo jau sana.
 
Back
Top Bottom