English iwe lugha ya kufundishia tokea chekechea

English iwe lugha ya kufundishia tokea chekechea

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,201
Reaction score
16,246
Habari zenu wadau,

Hapa mkoa wa Mwanza Shule ya Msingi Nyanza imeabadilishwa kuwa ya English medium. Ni moja ya shule za msingi kongwe hapa mjini alizoacha mkoloni mana nikipitaga hapo nje imeandikwa 1948. Mwenyewe kuna muda nikiwa primary nilikuwa naendapo kufanya mitihani ile std 7 ya kujipima kama Uko nondo unatafuta palipo na uwezekano wa kuonyesha uwezo wako umetukuka.

Ningeshauri ni muda muafaka sasa wa kutumika kufundisha tokea shule ya awali mpaka chuo kikuu kiswahili kitabakia lugha ya Taifa na kitasomwa kama tunavyosoma English.

Mie nashangaa kila kwa hatua za juu zinafanywa kwa kiingereza, hata barua bank ya kusaini mktaba ni English; sheria zimeandikwa kwa English, pia tubishe tukubali hawa jamaa wameshatutangulia na elimu hii yenyewe wametuletea.

Nina omba na wengine wataongezea. Jamani English ni tamu sana hebu niambie Quantum utaimkaje kwa Kiswahili. Naombeni wanajukwaa kama unapinga ama unakubali kwa hoja ni kwa nini kisitumike ama kitumike. Namba kuwasilisha

Ndalichako mama Prof ingawa wazee wa ujiji hawajapenda uongoze ila Ukaenda sijui Kasulu, hili suala nakuomba uliangalie binafsi ninakubali sana na nitafurahi sana ukimpokea JPM kijiti mama mana usomi wako.
 
Mijadala mingine ni kama ile ya Kipi bora Elimu au Fedha 😂😂
 
Kiuukweli me cjakushangaa sana maana uo ndo ualisia wetu uwa atupendi vya kwetu kiswahili sio kigumu ila sis ndo wagumu kwani kuna shida gani kiswahili kutumika mahali pote kweny elimu na kila idara maana navojua ukiaangalia nchi zlizoendelea hutumia lugha zao ukitumia lugha yako io ndo first defence yako mtu awez kujua umepanga nn ko kukua attack ni ngumu
 
"Kiingereza ndicho Kiswahili cha Dunia"
~ Mwalimu J. K. Nyerere, 1985, circa.
 
Back
Top Bottom