wewe ni mtanzania? nakushauri fungua center ya kujifunza lugha zote za makabila ya Tanzania kwa yoyote anayehitaji, pia uwe nafundisha lugha kubwa za kimataifa, ila jitahidi uwe na walimu wazoefu na wenye ujuzi, uwalipe vizuri na uwe na bei za kuridhisha.