English learning thread

Kiranga, na FaizaFoxy nani mkali wa kiingereza

Yule nilim assess humu nikaona kuwa wakati watu wanatumia bangi amma kwa starehe amma kwa "prescription" amma kwa raha zao, yeye anaiabudu.

Na nikasema, amma ni a common mental ward inmate au ni best contender and soon to be.
 

Hongera.Now advice others.Is it too late to start what you have been doing since you was a kid?! Hii ni kwa 20's na kuendelea
 

Miafrika Ndivyo Tulivyo. - Nyani Ngabu
 
Hivi unapoandika 'amma' ni kiswahili ama mbwembwe? No pun intended.
Yule nilim assess humu nikaona kuwa wakati watu wanatumia bangi amma kwa starehe amma kwa "prescription" amma kwa raha zao, yeye anaiabudu.

Na nikasema, amma ni a common mental ward inmate au ni best contender and soon to be.
 

Mkuu Kiranga ulichokieleza ukiongezea na maelezo aliyoyatoa Nyani Ngabu ndivyo hasa humfanya mtu kuwa na uwezo wa kuelewa akitakacho. Mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unapoandika 'amma' ni kiswahili ama mbwembwe? No pun intended.

Kiswahili nikijuacho kutoka nyumbani kwetu, sasa huko duniani sielewi kama kinatumika au la.

Naona nawe umeandika "ama", mie naona kama "ama" haitamkiki vizuri, "amma" ndio nahisi inaleta raha zaidi. Labda inatokana na sisi madrasa utotoni huanza kwa kusomeshwa "juzuu Amma".
 
juzuu Amma inamaanisha nini?
Nilikotokea mimi ukisema 'amma' inakuwa kama unalazimisha ama ugomvi, labda ndio maana hatutumii hiyo amma. sina hakika. kiswahili utata sana lakini
 
juzuu Amma inamaanisha nini?
Nilikotokea mimi ukisema 'amma' inakuwa kama unalazimisha ama ugomvi, labda ndio maana hatutumii hiyo amma. sina hakika. kiswahili utata sana lakini

Nijuavyo haimaanishi ugomvi, ina maanisha msisitizo. Kumbuka, Kiswahili kina maneno mengi sana yatokanayo na Kiarabu na hakuna Kiarabu kizuri na fasaha kama kilichotumika kwenye Qur'an.

Nilitumiavyo mimi neno "amma" ni hilo litokanalo na Kiarabu cha kwenye Qur'an, sasa kama Kibantu kina neno "ama" au lugha nyingine iliyojumuisha kati ya lugha zonafanya Kiswahili, sielewi. Ndiyo maana hapo juu nikasema "Kiswahili nikijuacho kutoka nyumbani kwetu".

Katika Qur'an kuna Juzuu (parts), moja wapo ndio hiyo Juzuu Amma, neno "amma" linatokana kwa kuwa sura inayoanza na hiyo Juzuu imeanza kwa neno "Amma" = About what? ni "preposition".

Soma zaidi: The Quranic Arabic Corpus - Word by Word Grammar, Syntax and Morphology of the Holy Quran
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Hongera.Now advice others.Is it too late to start what you have been doing since you was a kid?! Hii ni kwa 20's na kuendelea

To me, it is never too late. If only because one can always improve one's English, and we all will probably not perfect it 100%.

Pia, mfano wa safari yangu unaonyesha umuhimu mkubwa wa kuanza na watoto wetu. Watoto wengi wana a natural curiosity kwa sababu dunia ni mpya kwao, ukowawekea mazingira mazuri.ya kujifunza watajifunza.

Hii thread inanikumbusha mimi mwenyewe na tamaa yangu ya kujua kupiga piano kama mtaalam.

Napenda sana muziki, natamani sana kujua kupiga piano, lakini nimeanza kupiga ukubwani kwa hiyo uwezo wangu uko limited. Hilo halinifanyi niache kujifunza zaidi.

Kuna siku tulienda kwenye office party , sasa tukawa kama.tumewahi kidogo. Hotel lobby kuna piano, mmoja wetu akaenda kupiga. Jamaa ni mzuri sana. Anakwambia umtajie wimbo wowote popular, anapiga.

Nikawa na admire sana uwezo wake. Nikataka kujua anatumia muda gani ku practice, akaniambia anatumia angalau saa moja ya kilasiku ku practice tangu alivyokuwa na miaka 12, na hapo nafikiri alikuwa in his forties.

Nikaona sawasawa. Let him.be a master, he is putting in the hours, and has been.

But that does not mean I will stop practicing the complex movements of "Rondo alla Turca"
 
Thanks.Itabidi wanangu waanze mapema.
 
ahsante kwa ilmu, LOL.

well, kwa mila za kwetu hakuna kusisitizia. Yaani inabidi mie nihamie dini yenu ya haki aisee, eti mwanamke husisitizii wala hupandishi sauti? amaa! (yaani hiyo ni ultimutum). usinishangae kwetu hawajui kiswahili, ni lugha ya wasomi sawa na kizungu
 

Si mwanamke si mwanamme apasae kupandisha sauti kwa mwenza wake.

Upaze sauti kwani wewe ni muadhini?

Msisitizo haumaanishi kupaza sauti.

Dini, kwa maana kamili ya Uislaam ni njia! wala halazimishwi mtu kujisalimisha kwa muumba wake, ni amma ajisalimishe kwake au ajisalimishe kwa matamanio yake.

"Lakum dina kum, waliya din".

Kwa maana; nyinyi mna njia (dini) yenu, nami nna njia (dini) yangu.
 

Kiranga uko vizur kwa kiingereza c uongo tunakujua we ndo mwalimu wetu wa hiyo lugha
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa na passion ya kuijua vizuri sana hii lugha ya kiingereza km hyu member wa humu anayeitwa kiranga nitumie njia gani niweze kui master vizur hii lugha????
Unataka kujua kiingereza cha waingereza ama cha Kiranga? Kama una access na Sky News, fungua utizame wenye lugha yao wanavyoongea halafu ujipimie hapo.
 
from today foward i will spend a hour to read english books,newspaper and other sources of knowledge that may help me to improve my poor english. thanx nyani ngabu and kiranga for ure advice
 

Hakuna cha English ngumu kwa huyo mtu wa Trinidad bali ni accent yao huko West Indies(Trinida&Tobago na Jamaica) ni mchanganyiko wa Lugha ya Patra(inasomwa pakwa) na Kiingereza. Kiingereza wanachoongea sio Kiingereza fasaha ndio maana hata hao Wazungu unaosema walikua hawamuelewi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…