English learning thread

Myself and I cannot be used that way.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh!! I view this website is so good to learn but can i get its application from playstore???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its so great and understandable i think no one to correct it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama wawili twende sawa. Naanza kukutupia maneno machache ya kingereza ambayo watu hukosea mara nyingi sana, hata wajuzi wa kingereza. Mfano:

Lose - -poteza.
Loose - -legevu; -isiyokaza; -laini.

Sasa utakuta mtu msomi anatumia maneno haya vibaya kama hivi:

An atom looses electrons to become an ion instead of An atom loses ......

Hili ni tatizo.

Pia kuna maneno haya hapa.

Number plate - kibati ambako namba za gari huandikwa.

Plate number - namba zinazoandikwa kwenye kibati cha gari, mfano T 500 XYZ

Lakini utakuta mtu, tena msomi kabisa anachanganya haya maneno.

Kwa kuwa wewe mama wawili ndio kwanza unajifunza, kuwa makini usifanye makosa haya.

Nitarejea.....

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Am also one among of them but am use loose instead of lose thanks for correction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wewe unaitaji brash mdau
Hahitaji brash yoyote mkuu isipokuwa wewe ndiye unahitaji kubrashiwa.

The correct sentence is I am looking forward to SEEING lakini wewe unayehitaji brash ulitarajia aandike hivi:

I am looking forward to SEE

Rudi darasani kwa Ras Simba mkuu wangu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…