Hali inatisha katika jiji la mwanza, maswali kujiuliza, sijui wanaishi mtindo upi?
Hivi wanawork permit?
Je wanalipa kodi?
Wapo wanaodai ni wahaya kumbe ni waganda,
wapo wapo wanaozuga ni waluo au wakurya.
Sijui miji mingine ikoje? Hii ni hatari tuyaoilea muda waja tutakiona, infact one day we will regret