Umeota au ni kweli mbona mimi naona Chelsea anaongoza goli 1 au hii tv inanidanganya
Lampard amebakia jina tu..
kuchanganyikiwa tu lol .Huwa nawaangalia tu hawa watoto.Hivi 'vijamaa' mbn vyatoa easy penalties hvi? @#$%!
hakuna....Leo kuna sita kweli kwa Ze Bluz?
Si kdg kaka, hadi ifike April mwakani kuna mengi mageni tutayashuhudia EPL...!Spurs naona mambo ya 9-1 ya last season safari hii imekataa.EPL kiboko yao.
spurs watakuwa wamegundua sasa simchezo kuwa kwenye champions league na premier league lool.nawakaribisha kwenye UKUBWA.
Ha ha ha.spurs watakuwa wamegundua sasa simchezo kuwa kwenye champions league na premier league lool.nawakaribisha kwenye UKUBWA.
Jamaa amedrop sana..mashuti yake fyongo, pasi hovyo na hiiv sasa anakosa hata penati maana confidence imeshaanza kushuka.umestukia? jamaa mzigo sana huyu anasubiri wenzake wamtafunie yeye ameze tu na kama kuna nafasi ya kumeza manake siku hizi malouda na drogba wana maliza kila kitu hawamuachii makombo.i hope capello atampiga chini timu ya taifa.