nimefanya applications kibao za kusoma masters abroad , ila nyingi wanahitaji niwe nimefanya english test (IGCSE, IELTS, INTO, TOEFL, etc) bt na me cjawahi fanya hiyo kitu, naulizia wapi ninaweza kufanya hy test, especially km kn za online links ambazo mnaona ni valid, na cio longo longo, au vyuo gan mnadhani naweza pata, na huwa unasoma kwa mda gani mpk kufikia kufanya test au unaweza fanya test bila kusoma kabla, na how much wanalipaga, n.b. nimeogopa kugoogle coz naona naweza pata links za uongo nikapay online afu ikala kwangu, niliambiwa zinafanyika pia british council, je, british council wana branches mikoani au ni kwa dar peke yake?