english to french translation

english to french translation

Mkuu Chachasteven hiyo ya mkuu komuge68 ipo sahihi kabisa cha kuzingatia hapo kwenye "Ou" (where) kuna grave accent kwenye herufi "u" maana "Ou" bila grave accent ina maana ya "Or" kwa kingereza. Pia french ina uhuru kidogo kwenye kuumba sentensi naweza pia kusema " Ou est ce que vous habitez?/Ou est ce que t'habites? Vous habitez ou?/t'habites ou? kazi kwako .....:smile-big:
 
Last edited by a moderator:

Jamaa unaonekana upo vizuri kwenye French. Hiyo lugha naipenda sana natamani siku moja nijifunze. Nikiskia mtu anaongea namuoea gere sana.
 
Kiasi mkuu. Utaiweza tu,maana motivation ya kwanza kwenye kujua kitu ni interest.kwa hiyo kama unaipenda utaiweza tu ukianza kujifunza.
 
Back
Top Bottom