Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Ou habitez-vous? = where do you live? = unakaa wapi?
Mkuu Chachasteven hiyo ya mkuu komuge68 ipo sahihi kabisa cha kuzingatia hapo kwenye "Ou" (where) kuna grave accent kwenye herufi "u" maana "Ou" bila grave accent ina maana ya "Or" kwa kingereza. Pia french ina uhuru kidogo kwenye kuumba sentensi naweza pia kusema " Ou est ce que vous habitez?/Ou est ce que t'habites? Vous habitez ou?/t'habites ou? kazi kwako .....:smile-big:
Jamaa unaonekana upo vizuri kwenye French. Hiyo lugha naipenda sana natamani siku moja nijifunze. Nikiskia mtu anaongea namuoea gere sana.