Entebbe-Kampala Highway in Uganda

Nyausha wewe nzi
subiri uone unalia nn

Mkuu wetu anahangaika na salender bridge wakati hizo pesa angejengea express way ya Dar Moro , hii ingepenguza sana ajali..

Mwenzie JK kaondoka kaacha alama nyingi sana , huyu wetu zaidi ya hicho kindege hakuna atachoacha
 
Duh kama naiona pale katwe, najanankumbi, namasuba, zana ooohh ssebo Kampala murungi nyo' life fittinga with rolex na kikomandoo

Avasaja va champala....
 
What is wrong with you Tanzanians? Yani mtu akisema jambo nzuri kuhusu nchi nyengine lazima mlielie kwanini hajataja Tanzania? Crybabies for real. Akili za kitoto.
Inatosha.., futa machizi na unyamaze sasa.
 
Ukia"mxsdk, post: 18689180, member: 240059"]Tanzania ni ndoto ya mchana..labda mkuu wetu aachane kupambana na wasiasa na afanye kazi frequently.[/QUOTE]
Ukiamka ujiulize tena huu ugoro wako
 
Mkuu wetu anahangaika na salender bridge wakati hizo pesa angejengea express way ya Dar Moro , hii ingepenguza sana ajali..

Mwenzie JK kaondoka kaacha alama nyingi sana , huyu wetu zaidi ya hicho kindege hakuna atachoacha

Watu wengine wakupimwa akili sio bure
 
Dar-chalinze express way is the next....100 km toll road six lanes ,3each. .. how about this Mr depay

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Simjenge kwanza Kila saa miTz iko hapa procastination angalia sasa Uganda imewaacha ....jenga ndio uje na picha sio is the next ...ama ita ama wata .....leta ikiwa imemalizika Barabara bomba Port Airport ama leta yenye iko on going
 
Uganda are showing developmental seriousness !!! That road will be photogenic and it is already! I love it!!
 
Simjenge kwanza Kila saa miTz iko hapa procastination angalia sasa Uganda imewaacha ....jenga ndio uje na picha sio is the next ...ama ita ama wata .....leta ikiwa imemalizika Barabara bomba Port Airport ama leta yenye iko on going
MbonA umepanik[emoji28][emoji28][emoji28]
Au ujapenda. ......
sawa nmekuelewa..[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…