siku hizi jf mpaka inaboa! watu hawana jipya! ni kurudia mabandiko tu!
Niko chimboni! Nakuja nakuja, keep on waiting! Mambo mazuri hayataki haraka!alafu na wewe......hujatoa mpya siku nyingi hebu dondosha moja
username: Pape
Hii kali..!😀
Hujakutanaga na vicheche ambao hawavai hata hizo naniliu!