Enterprenuer Solution in android

luckyman

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
28
Reaction score
5
kwa wale wote wafanya biashara wadogo na wakubwa. wanafunzi kutoka THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA)
wamo katika hatua ya mwisho kutengeneza app ya simu za android kuwarahishia wafanya biashara wote wadogo na wakubwa kuzimanage biashara zao na kujua yafuatayo

1. kujua NET PROFIT
2. kurikodi gharama zote (Expenses)
3. kujua mtaji uliobakia kwenye biashara
4. inakuwezesha kujua bidhaa zako zote unazouza
5. kujua bidhaa gani imeisha na bidhaa gani ipo
6. automatic inasave date, month and year of any transaction yako
7. vile vile inakuwezesha kujua wale wote unaowadai
8. na pia wale wote wanaokudai pia unawajua kwa urahisi pamoja na idadi ya fedha
9. vile vile kuna button ukibonyesha kwa wale wote unaowadai automatic inajipeleka reminder sms ya fedha wanazodaiwa

program hii ya android itaweza kutumika na mtu yoyote
haihitaji kusomea

kwa yoyote ambae anaihitaji hii software naomba uasiliane nasi kupitia email yetu
Lukman.bachu@gmail.com

au kwa wale ambao wanataka kuinunua kwa ajili ya kufanyia biashara. tutawapa full right ya umiliki wasiliana nasi kwa simu nambari
+255 772 656 500
Zanzibar
 
upload how the software functions in youtube as tutorial.Thanx in advance and well done
 
for sure i will keep it as demo as soon as possible
 
simple english you will see the demo soon
 
.... and, do not forget to Brand it as "Enterprenuer Solution in Android, Made in Zanzibar by Zanzibaris". It is just a matter of time before you guys go solo!:wave:
 
hello world
demostration is ready and now kindly download this attachement
0772656500
thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…