Entrance exam

Entrance exam

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
9
Reaction score
8
Habari wakuu.....
Kwa walio chaguliwa kuendelea na hatua ya pili ya kufanya mtihani kwa ajili ya kujiunga na chuo kwenye scholarship za Hungary kwa level ya OTM one tier master please ni pm ili tuweze kudiscuss na kusolve maswali

Lakin pia kwa waliowahi kufanya hii mitihani naomba mtuambie uzoefu wenu .... Na jinsi mitihan inavyofanyika na n.k
 
Back
Top Bottom