Unajua ndugu yangu hizi elimu za kina Mulugo zimeharibu sana nchi yetu, ina maana tumefikia sehemu kuunganisha kozi mbili tena nzito zimegeuzwa kuwa kozi moja? Du yaani environment health science unaigonga hapo hapo na IT kwa ndani hahahaha kweli elimu za siku hizi zimekuwa nyepesi sana ndiyo maana kuna hata div 5
Nimechaguliwa hii kozi Bach of environment heath science with information technology, je iko marketable au?
ina ajira sana.hongera.
We hujielewi I hope, mbuzi na environment health science wapi na wapi? Acha uchokoraa au elimu yako unafananisha na kila mtu co?don't you have another place rather than being here? Damn..Wewe kasome tu lakini usitegemee ajira so ukimaliza ujasiriamali wa kufuga mbuzi unakuita mkuu.
Thanks uko mwelewa mkuu,nimekuelewa
We hujielewi I hope, mbuzi na environment health science wapi na wapi? Acha uchokoraa au elimu yako unafananisha na kila mtu co?don't you have another place rather than being here? Damn..
matus ya nn kijana?
..jamaa yupo sahihi
..kwa mwaka. wanafunz kibao wanamaliza vyuo
..na wanabanana na wale waliomaliza toka 2007 na wao wanasaka ajira
..kampun zilezile
..na zilizompya haziajir saana
...hivyo unaweza maliza chuoo ukasaga sana nyayo na kazi uzipate regardless umesomea program gani
..th only marktabl programs now ni madawa, pharmacy, clinical, education, lab technician
...programz zilizobaki kupata kaz ni bahati ama uwe na ndugu
...we kasome ila kuwa tayar kwa lolote
...mind yako iweke kwenye ujasiriamal zaid
...Na ndio mana jamaa alikwambia kufuga mbuzi bt haimaanish mpaka usomee Agriculture
....life nowadays is unpredictable
.......learn to b independent
..n change th schema u had concernin employment
.......Adios
Sawa next time jaribu kutofautisha uelewa wa akili wako na waxwingine coz may you be in the same group kama hujitambui,
Thanq ue kwa kujarib kunielewasha
I don't understand u
..choose either to write in kiswahili or english
...you are very poor in thinking capacity ..level of understanding, english grammar, full communication skills
...I have seconds thoughts concerning ur brain council, perhaps ur aving APHASIA
am educating u stil ur complaining
....use th light of new info
...I think JF doesn't suit u..drag urself at FB
....ADIOS