Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa best lakini vipi hiyo land ina soko au nitasota mtaani kwanza?
duh huwezi amini nimekuta zote ziko 'not eligible' wakati ijumaa zilikuwa 'eligible' mi nimeamua kuziacha hivyo hivyo labda watanibadilishia kwasababu nimequalify zote
yani zote 8 au?
Elimu toka lini ikalipa? labda uwe mwizi utapoajiriwa. Kinacholipa ni biashara tu, kama unabisha muulize Bakhresa.
Ikiwa unaingia kwenye elimu ili ikulipe kimapato (materialistic) unajisumbuwa kusoma. Elimu inalipa sana. Kwa "inner satisfaction" na kuwa na michango ya maana kwa walimwengu kiasi cha kuwahudumia wengi na kuwafanya maisha yao yawe mazuri zaidi na sio kama unavyofikiria wewe.