environmental engineering....

environmental engineering....

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
nisaidieni wadau nipate walau kibarua cha muda kuhusiana na mambo ya environment...nime graduate this year!!
 
subiria nasikia kuna mpango wa kuwa na environmental officers kila wilaya mwaka huu, hata mi nimemaliza hiyo hiyo kazi za mazingira ngumu hazipewi priority siasa tupu
 
Nenda kafundshe shule za kata 2.
 
M2 wangu kafundishe 2 hiyo kazi ni faster vibaya lakini utasubiri sana street kupata kazi yako kutokana na ulichosoma.
 
subiria nasikia kuna mpango wa kuwa na environmental officers kila wilaya mwaka huu, hata mi nimemaliza hiyo hiyo kazi za mazingira ngumu hazipewi priority siasa tupu

kama 2 wameshndwa kuwaajiri walimu,ndo ije kuwa hao maenvirmentalists!
 
Back
Top Bottom