MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kwa mshangao mkuu, ni kama dunia nzima imepigwa upofu, watu wanataharuki, ni nini mustakabali wa mwanadamu ili hali kuna akili mnembe?
Nakuambia wewe kizazi cha nyoka, AI haiwezi kufanya kazi kama haijawa programmed na binadamu, itafuata algorithm zile zilizotengenezwa na mwanadamu
Mwanadamu bado ataendelea kuwa on top of everything that have been created or that he has created himself, Mungu ametupa akili, inatusaidia kufanya kazi zetu kwa urahisi.
Mwanadamu haweizi kuwa replaced by machine, sex toys haziwezi ku-replace pussy, utamu wa pussy ya manadamu utaendelea kubaki pale pale.
Tuendelee kunywa mtori nyama bado ziko chini