Mwisho wa siku ndio wanaowaongozaMashabiki wa Manchester hawanatofauti na wa CCM
wote wana matatzo yanayofanana
Waambie kaka, yaani mtaani taabbuuu!
Ndo huyu huyu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sory mkuu hivi wewe ndo ulitabiri simba kufungwa au nimekosea mkuu?
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
nonsenseYaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.
Hivi mechi mbili ' Kiutaalam ' zinatosha kuwafanya Mashabiki wa Manchester United kuanza ' Kujigamba ' Kujishebedua ' hivi humu mitaani na mitandaoni? Hivi nyie wana Manchester United mbona mnakuwa wapuuzi wa Kiwango cha juu hivi?
Hata bado hujacheza na ' Mwanamume ' wa Ulaya na Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Liverpool FC ambaye kwa rekodi tu ameshakufunga mara nyingi sana japo kwa miaka ya hivi karibuni mmekuwa mkibahatisha kuwafunga tena kwa taabu mno.
Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ( English Premier League ) ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi na hili halina ubishi na kwa atakayelibishia hili huyo atakuwa kaanza kushabikia mpira juzi au jana au leo.
Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.
Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.
Mashabiki wa Manchester United tafadhalini sana acheni ' Ushamba / Umbwigira ' na jifunzeni mpira!
Point zenu zote 6 tunazo mkuu asante kwa kutupatia na ukijumlisha na sita tulizonazo jumla zinakuwa 12 tunashukuru sana ila kumbuka na magoli manne maana tutawapiga hayohayo jumla tunakuwa na magoli 12[emoji119][emoji119][emoji119]Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.