Enyi mashabiki wa SIMBA SC kwenye jezi zetu kuna jina la Yanga na GSM je linahuska na nini?

Lazima jezi za mke ziwe na jina la mume husika ili kuzuia kuolewa popote tena.
 
Huu nao ni uharo kama uharo mwingne tuseme hilo gsm ni wale mabosi wa utopolo ndo wanaofahamika au kuna maana nyingne zaidi ya hiyo?
 
Hiyo ni barcode toka jezi ya Yanga ambayo mshamba mmoja ameicopy na kiupaste juu ya hiyo emblem ya Vunjabei. Iangalie kwa makini haikulala sambamba na mistari ya nembo ya Vunjabei, halafu chunguza huo mstari chini ya barcode uliolazimishwa kutoa rangi yake ya asili. Pengine njano/kijani.

Halafu mtu unakuja kufungua uzi wa kishamba hapa.
 
Huko Yanga yamejaa mazezeta tupu tuwasamehe bure.
 
Wala usipate shida mkuu, vunjabei kaagiza jezi kupitia kampuni ya GSM na hii GSM ni kama maji Coz usipo kunywa basi lazima utayaoga tu
 
Wala usipate shida mkuu, vunjabei kaagiza jezi kupitia kampuni ya GSM na hii GSM ni kama maji Coz usipo kunywa basi lazima utayaoga tu
Sasa kama jiesemu kaagiza ..hilo jina yanga linatoka wap wkt ni jez ya simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…