Umewaza kimaskini na kipuuzi sana. Yanga imemuuzia timu nani?unaongea jambo ambalo hulifaham. Manji anaifadhiri yanga anaitumia kwa maslah yake ambayo kwenye uelewa wako wa kimaskini huwez elewa hata uelekezwe mwaka mzima. Leo manji akiondoka yanga unadhan inakuaje?inakuwa kama african sports au hizo ulizotaja kwa dharau za kipuuzi na kutokujua unachoongea.yanga hal waliyo nayo sasa manji ni kama mungu kwao. Hatutak uendeshaj timu wa namna hiyo.tunataka mfumo unaoeleweka na si manji akisema anastaafu wnyekiti mnaenda mpigia magoti