Enyi mawaziri na wabunge nini maana ya makofi na kushangilia

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani.
Huwa mnachambua hotuba zao?

Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais akimchamba Spika mnashangilia, mkiwa bungeni Spika akiongea ushenzi kwa serikali mnashangilia. Nyie ni ndege wa angani?

Mwanzoni Rais aliwaambi Mnademka bungeni .Hamkufanya iwe hoja bungeni kwanini tunaambiwa tunademka.

Sasa mnawademkia Spika na Rais.

Asante Rais kuwaambia mkeka unakuja.
 
Kaeshawatisha bado wanashangilia,

Kesho akiwatumbua sijui napo watashangilia?
 
Ugali kaka

wanakera sana kwa kweliiii!!
 
Sio wabunge na mawaziri tu
 
Wanatetea matumbo yao..wamegundua ugali upo kwa samia..ndugai kwishney..
 
Back
Top Bottom