Elections 2010 Enyi mbayuwayu. Mimi ndio mwajiri wenu: Jk

Elections 2010 Enyi mbayuwayu. Mimi ndio mwajiri wenu: Jk

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Siku ile ailita wafanyakazi Mbayuwayu na kusema " Mimi ndio mwajiri wenu.Atakayegoma nitamfukuza kazi" Nasi Oct 31 twendeni TUKAMFUKUZE KAZI

Alisahau kuwa sisi ndio waajiri wake.
 
hatuwezi jua labda walimu wa Songea wanadanganyika
 
Watakuwa mbayuwayu hao wakikubali
 
"wanafki wazandiki hawana lolote wana lao jambo" aliwaambia wafanyakazi maneno hayo pia
 
Kama yeye ndo mwajiri,
sasa anafanya nini ktk safari yake ya nchi nzima?
 
"Hata mkigoma miaka minane mfululizo, hicho kima mnachotaka hamkipati ng'o" alisema.
 
na virungu juu, hivyo tutakuja kujadiliana wengine mkiwa na manundu
 
Siku ile ailita wafanyakazi Mbayuwayu na kusema " Mimi ndio mwajiri wenu.Atakayegoma nitamfukuza kazi" Nasi Oct 31 twendeni TUKAMFUKUZE KAZI

Alisahau kuwa sisi ndio waajiri wake.

mfamaji hii niipenda, jeuri yote ya jk kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
siku ile ailita wafanyakazi mbayuwayu na kusema " mimi ndio mwajiri wenu.atakayegoma nitamfukuza kazi" nasi oct 31 twendeni tukamfukuze kazi

alisahau kuwa sisi ndio waajiri wake.

kwa siku nyingi sana sijawahi kusoma maneno machache lakini yenye ujumbe mzito na unaoeleweka kwa kila mmoja wetu. Hongera sana
 
''chukua zako na changanya za kwake''..............!!!taaabu kwelikweli mwaka huu
 
Siku ile ailita wafanyakazi Mbayuwayu na kusema " Mimi ndio mwajiri wenu.Atakayegoma nitamfukuza kazi" Nasi Oct 31 twendeni TUKAMFUKUZE KAZI

Alisahau kuwa sisi ndio waajiri wake.

This is a BIG EVER message, so clear, true, inauma sana JK akiisoma n his blind followers, to the point i.e short, through this message i can say your Genius Mfamaji, yaaaaaaani wacha tu, you touch my heart, spirit, body etc, safiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom