Enyi mnaoitwa Wanaume

hivi kweli wanaume wanafanya upuuzi kama huo...?nauliza tu!
 
Mi nadhani tunaitiwa la maana kumbe hayo?
Ukishakuwa mwanaume lazima kupambanua anachotaka mwanamke uweze.
Call the boys uwasaidie walau hata quality ya posts itaongezeka (Kwanza that pic was meant for fb's instangram...)

Hivi unajua kiafrika ukiwaita wanaume wakaja itakugharimu sana usipotoa sababu nzito ya wito?
 
wanawake wa sasa ni invoice tuu tokea day one
 
hiyo kitu haina uhalisia kabisa... eti mbaba unaingia ndani unasmile mfukoni huna kitu aisee sijui nitakuonaje

hahaaa! Dah! Ila kuna kaukweli flani mwanaume bila pesa ni tatizo.... Kwahyo ww unataka niwe na shi ngapi ndio nikufuate?
 
Hii ni nadharia ambayo ni ngumu kuitekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…