Enyi mnaoitwa Wanaume

Mkisha tendwa ndio mnakuja na majibu ya aina hii ila kabla huwa shida yenu ni kupiga mizinga wanaume, mnajulikana sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mmmmh hilo liko wazi kuna kitu kinafuatwa hapo hata mfiche vip kwa lg ya kifasihi sisi ndio tunajua tunafuata nini kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…