Ulioletwa na dada yake robot Eunice πBoya ni msamiati Mpya πΌ
Tusije kukamatana tukiuelekeza magogoniBoya ni msamiati Mpya πΌ
Huyo Nape anashinda mtandaoni utazani dotto magari kumbe waziriView attachment 3009521
Hii ni post ya ya mhe Nape ya 23 May 2024 akimrushia tusi mwananchi...
Mtoa mada hajui maana ya 'boya'...ππAnyways....
Binafsi simpendi Nape, lakini kwahapa mbona sijaona tusi lake??
Na Kanyaboya?!Boya ni msamiati Mpya πΌ
Kanyaboya ni kutapeliwa Kishamba πNa Kanyaboya?!
Nape kwa nafasi yake kama waziri alipaswa kujizuiaTujifunze pia majibu ya staha,
Huyo mtu ndiye ameanza kimuonyesha Waziri dharau.
Tuheshiniane sote.
Alishasema utakavyokuja ndivyo utakavypokelewaNape kwa nafasi yake kama waziri alipaswa kujizuia