Pendragon24
Member
- Aug 8, 2018
- 68
- 97
Msithubutu kabisa kumchagua Freeman Aikael Mbowe kwani mtakuwa mmetangaza hadharani ushirika wenu na ccm kwa njia moja au nyingine.
Freeman Aikael Mbowe anapaswa kupingwa kila mahali na watu wote wenye mapenzi mema na uhai wa demokrasia ya kweli nchini.
Freeman Mbowe hata lugha zake tu zina onyesha dhahiri ana ambatana na ccm ujanja ujanja wake wa kuhuadaa umaa umefika mwisho, hivyo anapaswa kuondolewe haraka sana.
Tukiweza kumkabili na kumpinga Freeman Mbowe kwa uroho wake wa madaraka litakuwa fundisho kubwa sana kwa warafi wengine wanao fikiri vyama vya kisiasa ni mali zao binafsi.
Zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wa kumchagua mweyekiti wa taifa wa chama hicho siku ya tarehe 21.01.2025 macho ya makundi ya jamii za watu mbali mbali ndani na nje ya nchi yana tazama na kufuatilia kwa ukaribu sana.
Miaka mingine tumezoea mwanzoni mwa mwaka kama hivi anga letu la mtandao lina jazwa zaidi na agenda za wanafunzi kurudi shule, ugumu wa maisha mwezi januari na stori nyingine.
Lakini imekuwa tofauti sana mwaka huu, ambapo vichwa vya habari vya magazeti, tv, redio na mitandao ya kijamii swala la uchaguzi wa Mwenyekiti wa chadema taifa lina zungumzwa sana kuliko chochote.
Si tu wapenzi wa siasa pekee bali hata wale wasiopenda kujihusisha na siasa huko maofisini, mitaani na vijiweni wanafuatilia kwa ukaribu na hamu kubwa sana.
Mashirika ya haki za binadamu ya kitaifa na kimataifa pamoja na wanaharakati wengi duniani wanafuatilia kila hatua kujua nini kinatendeka kama ni haki au ubatili.
Wananchi wengi walitamani kuingia na kupiga kura ya haki lakini wengi wao kanuni, taratibu na miongozo ya chama zina wazuie kufanya hivyo.
Lakini sauti za haki za maelfu ya watu na wapenda demokrasia nchini zipo mikononi mwenu enyi wajumbe wa mkutano mkuu.
Sio demokrasia ya nyinyi wajumbe mnataka nini binafsi, bali demokrasia ya nini wananchi mnao wawakilisha wanataka.
Enyi wajumbe wa mkutano mkuu mkienda kupiga kura kinyume na matarajio ya wananchi walio wengi mkatanguliza tamaa mbele mtapoteza uaminifu ambao ulinunuliwa kwa damu, mateso na jasho.
Japo tunafahamu lipo kundi nje ya chadema lenye interest kubwa wakitaka Freeman Mbowe achaguliwe tena ili kulinda maslai yao.
Enyi wajumbe wa mkutano mkuu mjiulize je kundi hilo ni rafiki kwa chama?

Hivyo tunawasihi wajumbe wa mkutano mkuu KUSIKILIZA SAUTI ZA WANANCHI.
Neno la MUNGU katika BIBLIA takatifu kitabu cha Yoshua 13:1
Mungu anamwambia Yoshua wewe umekuwa mzee na kwendelea sana miaka yako, kisha inasalia nchi nyingi sana bado kumilikiwa.
Mungu alitazama mbinu za Yoshua na umri wake aliowatumikia wana wa Israel akaona kwa Mapambano yaliyopo mbele Yoshua hatoweza.
Bali bwana Mungu alitaka mtu mwenye mbinu na nguvu mpya atakayeweza kubeba maelekezo ya namna ya kupigana vita dhidi ya watu wa mataifa na majeshi yao kama wafilisti na wageshuri.
Leo hii Mungu hawezi kusema nawewe Freeman Mbowe direct ila anatumia makundi ya watu mbalimbali kufikisha ujumbe wake kwako,
Kwamba umeshakuwa mzee sasa mbele yetu bado kuna vita na mapambano makali yanayo muhitaji mtu mwenye nguvu mpya na maono mapya atakayeweza kubeba maelekezo magumu ili kupambana na uonevu, dhuluma na mauaji ya watu wasio na hatia yanayoendelea nchini.
Ewee Freeman mwana wa Aikaeli kama ungeweza kutambua alama za nyakati kitendo cha TBC taifa kurusha live tukio lako la kutangaza nia yako ya kugombea na baadhi ya makada wa chama cha mapiduzi kukuunga mkono ni dalili tosha kwamba MUNGU ALIYE HAI amekukataa kama alivyomkataa Sauli mwana wa Kishi.
Hivyo wajumbe wa mkutano mkuu ISIKILIZENI SAUTI YA MUNGU ALIYE JUU kupitia kelele za watu kwenye kila kona na miisho yote ya nchi.
Ni dhambi kubwa sana kwa MUNGU kula rushwa ili kuifuraisha nafsi yako huku upande wa pili unaumiza wengine.
Hujma za aina yeyote ndani ya uchaguzi, hila, hiana, rushwa, matukano, dharau, kashifa zitakazo tendeka ndani ya kamati kuu na mkutano mkuu dhidi ya haki, fahamuni kwamba MUNGU ALIYE HAI anatazama.
Enyi wajumbe wa mkutano mkuu nawasihi sana MSIMKASILISHE MUNGU dhoruba yake isije kuwadhuru ninyi na vizazi vyenu na chama chenu.
WASIKILIZENI WATU.
MCHAGUENI TAL KWA AJILI YA CHADEMA NA TAIFA

- Sikilizeni sauti za wananchi kutoka kwa wana familia ya Freeman Mbowe waliomshauri na kumwambia baba yao kwamba inatosha pumzika.
- Sikilizeni sauti za wananchi wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wa Freeman Mbowe waliomshauri kuachia nafasi wengine.
- Sikilizeni sauti za wananchi wanaosema mfumo wa siasa za nchi hii umebadilika hivyo inahitaji mtu sahihi anayeweza kuenenda na mabadiliko haya.
- Sikilizeni sauti za wananchi ambao kwa kipindi hiki wameacha kubishana mipira ya simba na yanga huko vijiweni sasa wanazungumza uchaguzi.
- Sikilizeni sauti ya John Wagesa Heche iliyobeba sauti za kweli za demokrasia kutoka kwa wananchi.
- Sikilizeni sauti ya Godbless Jonathan Lema mpevu wa mambo na mpenda haki.
- Sikilizeni sauti ya Dr. Wilbrod Silaha ambaye anawakilisha sauti za watu wa old school ya chadema ambao wamechoshwa na huu uongozi.
- Sikilizeni kelele za wananchi wanaosema imekuwaje leo baadhi ya makada wa chama cha mapinduzi wanaonekana kumuunga mkono Freeman Mbowe ambao siku zote wamekuwa wakimtukana.
- Sikilizeni sauti za wananchi wanaosema kama haki isipotendeka basi chadema itakufa kifo cha mende na kuwa kama CUF na TLP.
- Sikilizeni sauti za wananchi wanaolia machozi kwa kutukanwa na wapinzani wenu ccm ya kwamba chadema ni mali ya Freeman Mbowe mtoeni ili mthibitishe kuwa chadema ni mali ya umma.
- Sikilizeni sauti za wananchi wanaosema kwamba imekuwaje leo kwenye press conference ya Freeman Mbowe mpaka TBC taifa wanarusha tukio hilo live kuna nini kimejificha hapa?
- Sikilizeni hata sauti ya Freeman Mbowe mwenyewe ambaye hajui hata atakifanyia nini chama kwa miaka mitano ijayo kama atachaguliwa tena.
- Sikilizeni sauti za vijana wa BAVICHA pale Ubungo wanao wakilisha hisia za wengi huko mtaani.
- Hizi polls zilizopo mtandaoni enyi wajumbe wa mkutano mkuu msidharau hizo ni sauti za wananchi kamwe MSIZIPUUZE hata kidogo mkasema hayo ni mambo ya mtandaoni tu itawagharimu.