Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Jan 17, 2025 #101 Kohelethi said: Mkuu angalia hata hiyo miungu nimeandika kwa herifu gani?. Utaelewa vizuri nilichomaanisha Click to expand... Sawa mkuu sikuangalia vizuri nilihisi unaunga mkono uzi
Kohelethi said: Mkuu angalia hata hiyo miungu nimeandika kwa herifu gani?. Utaelewa vizuri nilichomaanisha Click to expand... Sawa mkuu sikuangalia vizuri nilihisi unaunga mkono uzi
L LS163 Senior Member Joined Aug 18, 2021 Posts 182 Reaction score 171 Jan 17, 2025 #102 Aaliyyah said: DR Mambo Jambo Hebu tusaidie ufafanuzi wa hii picha tujifunze Click to expand... Kwa mujibu wa vifungu vya maandiko ya Quran vilivyoainishwa kwy hiyo picha,vinaelezea mwonekano halisi wa mungu wa waislam[Allah].
Aaliyyah said: DR Mambo Jambo Hebu tusaidie ufafanuzi wa hii picha tujifunze Click to expand... Kwa mujibu wa vifungu vya maandiko ya Quran vilivyoainishwa kwy hiyo picha,vinaelezea mwonekano halisi wa mungu wa waislam[Allah].