Enyi wanawake sikieni

Enyi wanawake sikieni

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Mume wako
Alipe Kodi
Anunue chakula na mavazi
Alipie billis za umeme , maji na hospital
Ada za shule watoto
Akupee pesa
Bado anakomaa aweke akiba kwa ajili ya maendeleo yenu.
Na kitandani awe na nguvu za kiume...

Lakini unaenda kutoa uchi kwa mwanaume anayekuchatisha nyege🤦🚮🚮very sad

Hivi mna akili timamu kweli nyie wagawa mbususu eeeh 🤔
 
Huna akili.

Wewe kwanza wengine baadae, hata kwa wanao ni wewe kwanza maana wewe huna wa kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe.

Mwanamke ameshalijua hilo, kua inabidi awe yeye asikutegemee wewe kwa kila kitu. Akitaka azagamuliwe ipasavyo na wewe ambae uko bize haridhiki hivyo katafuta altanative, ila wewe kilaza unakaa kulalamika.
 
Mume wako
Alipe Kodi
Anunue chakula na mavazi
Alipie billis za umeme , maji na hospital
Ada za shule watoto
Akupee pesa
Bado anakomaa aweke akiba kwa ajili ya maendeleo yenu.
Na kitandani awe na nguvu za kiume...

Lakini unaenda kutoa uchi kwa mwanaume anayekuchatisha nyege🤦🚮🚮very sad

Hivi mna akili timamu kweli nyie wagawa mbususu eeeh 🤔
"Nimepigiwa na kitu kizitooh........."

Ilisikika Ngoma Fulani katika maeneo ya karibu yaliyo karibuuu
 
Ndoa ni concept ambayo imepitwa na wakati, misingi ya ndoa iliwekwa bila kufikiria kwamba hisia za binadamu zinabadilika, watu wanakua bored na kitu kimoja kwa muda mrefu, moyo unapelekeshwa na fantasies na adventure. Zamani ndoa ilikua functionable kwa sababu wanawake walipigwa pin lakini kwenye kizazi hiki cha 50/50 ambacho wanawake pia wana uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwajibishwa na jamii wala familia ndoa haina maana tena kwa wanaume.
 
Back
Top Bottom