AMINA: :A S kiss:Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..
Eiyer nimependa sana swali lako ma lito bro. to me it doesn't make any difference as you have learn a lot from literatures. Ishu iko kwenye endurance tu something which you can make it perfect as you keep on practicing. Kwangu mimi ingesound safi zaid kama bikra +bikra au bikra ke+ experienced but nafikir pia haina effect kama ukimpata experienced ke ili kuweza kufunzana maana ya ishu yenyewe.Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!
Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..