Eiyer mbona hilo siyo ishu kwa mtu anayekupenda kwa dhati? wengine huwa tunaelekeza kabisa hapa ndio mahali pangu pa mshawasha au hapa unaniondolea stim kabisa and so on. hakuna ishu ya ushamba bana manake unayajua haya from anecdote so kupractice its a matter of time. Tulia utapata ambaye atakubali tena natamani ningekuwa ni mimi lol kumzibua mwanaume siyo mchezo dogo. wote tunakutana nao wakiwa kwisha habari yao.gfsonwin,umeeleza vizuri sana na umeelewa maana ya thread hii. . . . . .Uliposema mpata nimpate wangu ulikua unamaanisha nini?Lets say kwamba nimekutongoza na ukajua niko kwenye hali kama hiyo,je utanikubali na ushamba wangu?Maana naweza kua hata eneo husika sijui na shughuli inavyofanyika pia sijui!Utanikubali??
Eiyer mbona hilo siyo ishu kwa mtu anayekupenda kwa dhati? wengine huwa tunaelekeza kabisa hapa ndio mahali pangu pa mshawasha au hapa unaniondolea stim kabisa and so on. hakuna ishu ya ushamba bana manake unayajua haya from anecdote so kupractice its a matter of time. Tulia utapata ambaye atakubali tena natamani ningekuwa ni mimi lol kumzibua mwanaume siyo mchezo dogo. wote tunakutana nao wakiwa kwisha habari yao.
Hivi ngoja nikuulize unajua maana ya upendo?Maana nimeshachoshwa na hizi kauli za midomoni tu!
Nakuhitaji sana😛eace:Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..
Nakupenda sana😛eace:Eiyer nimependa sana swali lako ma lito bro. to me it doesn't make any difference as you have learn a lot from literatures. Ishu iko kwenye endurance tu something which you can make it perfect as you keep on practicing. Kwangu mimi ingesound safi zaid kama bikra +bikra au bikra ke+ experienced but nafikir pia haina effect kama ukimpata experienced ke ili kuweza kufunzana maana ya ishu yenyewe.
ukweli ni kwamba kwa mwanaume kudo for the first time hata misuli tu ya miguu itakubana na waweza kukuta baada ya game moja wewe mgonjwa hoi so yawezekana kabisa kazi lengwa isifanikiwe kama ilivyotarajiwa.
Ushauri kama bado usfanye mchezo wa matusi hadi upate wa kwako wandani mengine ni situational zaid.
Lakini,sidhani kama umejibu swali anne maria!Hebu jibu,unayo?
Haya,naja bibie,ila usinidanganye,nikitaka unithibitishie utafanya nini?
Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..
Amyner mbona unashangaa?Hujawahi kukutana na mwanaume virgin?
Ha,ha,ha,ha,haaaaa!ODM bana ulishaona wapi mtu akapanda farasi wawili?