Enyi wanawake wa Tanzania nani aliwaloga kuhusu michezo ya kuwekeana pesa?

Michezo siyo mibaya, ubaya unajitokeza pale uaminifu unapokosekana.
 
Sisi tuna group la kuweka na kukopa ila tunavunja kila mwaka. Kiwango cha chini ni 100k kwa mwezi. Tuko wanawake 10 na wote ni majirani. Inasaidia sana hasa ukiwa na tatizo la kutaka hela ya chap.
Wengine tunatumia hiyo akiba kulipia ada za watoto.
 
Nina dada zangu wawili hao hata uwaambie nini hawakuelewi kuhusu hii michezo yao ya upatu. Yani kila siku yeye anatafuta hela ya kikoba na sijawahi hata kuona maendeleo ya maana waliyofanya zaidi ya stress tupu
 
Waache huo ujinga. Utawagharimu
 
Ccm imewaletea vikoba ili waendelee kua wajinga
 
Sawa kabisa hata mm ya kijumbe inanikera Bora ya kutumiana kwenye akaunt moja Kwa moja
 
N
Kuna Wanawake wanapitia changamoto sana kwenye ndoa zao

Unakuta Mume mlevi, Wala hajali familia yake

Ukimuuliza Mke mara ya mwisho amenunuliwa lini nguo ya ndani na Mumewe, anakwambia hajawahi🙌

Bora hivyo Vikoba vyao vinawasaidia
Nguo ya ndani hata nisiponunua bado ni uzembe wake hivi kitu cha buku mbili tatu hadi tano hadi nikipitie dukani nmletee?? Sio kila mwanaume anaweza hayo mambo.
 
Nguo ya ndani hata nisiponunua bado ni uzembe wake hivi kitu cha buku mbili tatu hadi tano hadi nikipitie dukani nmletee?? Sio kila mwanaume anaweza hayo mambo.
Kuna Wanaume wenzetu hata kumpatia hela Mke/Mpenzi wake ya kununua chupi hampi huu ni Mwaka wa 5 ama 10 tangu waoane 🙌

Sio lazima Mkuu, lakini kumnunulia Mkeo/mpenzi wako nguo ya ndani humfanya azidi kukupenda na kukuamini zaidi

Vivyo hivyo Wanaume hupenda kununulia/kuletewa Boksa na wapenzi wetu kama sehemu ya zawadi

Boksa 3 ni shilingi 21,000 tu lakini inaweza kufanya Mwanaume azidi kumpenda Mke/mpenzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…