ENYI WATU WEUPE
Mwanangu sasa watu weupe wanapoteza sifa yao ya uwajibikaji na ufataji wa sheria, hatuoni hata mmoja akikemea hili zaidi ilisikika kauli moja enzi zile nayo ilisema "hizo ni za kiwi tu" dah! kauli ile iliwapa ukubwa sana hadi leo haikavunjwa.
Ila Mwanangu siku hizi hata wakisimamisha hawakagui ipasavyo wala hawafatalii uhalali wa dereva ila wao maranyingi hupokea michezo tu . lakini mwanangu tabia hio
inatupotezea nguvu kazi kwa ajari na kutuachia ndugu zetu vilema vya kudumu.
Mwanangu naomba umwambie MAMA basi awasikilize walau hao watu weupe wana shida gan mpka wanachezesha michezo kiasi hicho basi awapandishie maslai yao maana wanaumiza sana
Mwanangu naomba umwambie MAMA manahodha wanalalamika sana hakuna anaewajari wanabanwa na hali maji na ukosefu waje mitaani waongee na wenye mitaa jinsi gani ya kuzuia pia watoe elimu kwa wasimamizi na raia adhari ya michezo iyo haramu lakini mwanangu waambie wasisahau kuwachukulia adhabu kali watoaji na wapokeaji.