Sijambo B', mie nimemaliza wakati baba wa Taifa kesha rip so sijayakuta hayo mambo ya jkt, niliambiwa zamani watu walipelekwa kwa lazima wakimaliza O au A level ni kweli?hujambo sweetie?
Za masiku?
Ninyi ndo mlikuwa wajongomeaji!
kwa mujibu wa sheria ukimaliza form six au kozi yoyote sharti ukahenye JKT.Ukuruta (mafunzo ya awali) ilikuwa si mchezo,wote ni bukta na t shirt kwa kwenda amini.Tulikuwa tunachoka kiasi kwamba mnalala msichana hapa mvulana hapa wa hamgusani.Ukishazoea ilikuwa inakuwa big fun maana mnavumbua mbinu kali sana za survival,ukichanganya na ujana,those days!Sijambo B', mie nimemaliza wakati baba wa Taifa kesha rip so sijayakuta hayo mambo ya jkt, niliambiwa zamani watu walipelekwa kwa lazima wakimaliza O au A level ni kweli?
hayakuwa mateso kihivyo,mwanzoni sawa shauri ya uraia lakini maafande wakisha kufanya uwe askari unakuwa ok.Nakumbuka best day jkt ilikuwa siku ya kwenda range,mnakwenda kufundishwa kupiga risasi live,kijana unangurumisha SMG!Hili dudu linaloitwa JKT silipendi! Nashukuru wakati namaliza elim ya upili hili dude halikua lazma vinginevyo ningeteseka sana.
hayakuwa mateso kihivyo,mwanzoni sawa shauri ya uraia lakini maafande wakisha kufanya uwe askari unakuwa ok.Nakumbuka best day jkt ilikuwa siku ya kwenda range,mnakwenda kufundishwa kupiga risasi live,kijana unangurumisha SMG!
Daaah, mie bado kuliona jua hapa...Mimi mwaka 1981 nilipangiwa Oljoro....nilikuwa C coy
Kuna mtu aliwahi kunipa hadithi kama hii ya kwako kuwa wanachoka mpaka inafika mahali hawatamaniani tena,...inaonekana ilikuwa raha sana lol.kwa mujibu wa sheria ukimaliza form six au kozi yoyote sharti ukahenye JKT.Ukuruta (mafunzo ya awali) ilikuwa si mchezo,wote ni bukta na t shirt kwa kwenda amini.Tulikuwa tunachoka kiasi kwamba mnalala msichana hapa mvulana hapa wa hamgusani.Ukishazoea ilikuwa inakuwa big fun maana mnavumbua mbinu kali sana za survival,ukichanganya na ujana,those days!
Kweli bana, bora waliuondoa asee!Asante kwa ufafanuzi japo bado sijavutiwa na huo mtindo ulotumika enzi hizo wa kuwalazmisha wahitim kupitia huko.
Daaah, mie bado kuliona jua hapa...
Kweli bana, bora waliuondoa asee!
Ka baby hapana bana!Whaaaat? kumbe uko ka baby hivyo....
Hahahaha, tungejificha wengi lol.Nakwambia kama huo utaratibu ungalikuwepo mpaka leo sijui ningalijificha wapi tu yaani nachukia kushurutishwa hakuna mfano.
Hahahaha, tungejificha wengi lol.
Mie sipendi kabisa kufanya kazi ngumu yaani wangenipeleka kwa marungu...lol.Kweli tena nakuapia, sipendi sipendi tena sipendi mtu kunishurutisha kujiunga na kikundi au kampuni flani bila ridhaa yangu.
Israel na Germany system hii ya vijana kwenda jeshini kwa mujibu wa sheria mpaka leo bado ipo,ina manufaa yake makubwa tu (for those countries which can afford it).Asante kwa ufafanuzi japo bado sijavutiwa na huo mtindo ulotumika enzi hizo wa kuwalazmisha wahitim kupitia huko.