Makutopora Jkt kwa Afande Col Matingas( RIP) B coy. S/Sgt Chacha, Sgt Mwiba,cpl Mkopoka. RSM Mwihechi. Adjutant Capt Mgimba.835kj Mgambo Tanga
Maleela malela ....wangu naktafua
Inai nai amba, yafanana amba na jeshi letu amba..hakuna mwingine
Acha bhana dah. Chezea shamba dunia kwa komsanga na genda genda hahaha.
Usinikumbushe jeneza. Nilibeba pack yenye vitofa( vya kuchoma 10. ) Combat imelowanishwa maji.Mkuu nilijua utabase Jkt tu hata kama ulikuwa intake ya moja kwa moja to TMA. Ila usinikumbushe zile route marches kupita vijiji vya wamasai, mguu wa Zuberi na kubeba jeneza la brigadier haha.. It was an awesome memory
Makutopora Jkt kwa Afande Col Matingas( RIP) B coy. S/Sgt Chacha, Sgt Mwiba,cpl Mkopoka. RSM Mwihechi. Adjutant Capt Mgimba.
CI nimemsahau alikuwa Maj ( tulimuita afande CI).
Uzalendo una viwango na upo tofauti tofauti. Upo ambao mtu anazaliwa nao naturally juu ya watu wake na nchi yake na kuna ambao lazima upitie katika misingi/ mafundisho ya aina fulani ili uweze kuvifikia viwango vya juu vya uzalendo.Uzalendo unafundishwa mkuu?
Uzalendo una viwango na upo tofauti tofauti. Upo ambao mtu anazaliwa nao naturally juu ya watu wake na nchi yake na kuna ambao lazima upitie katika misingi/ mafundisho ya aina fulani ili uweze kuvifikia viwango vya juu vya uzalendo.
Usichukulie rahisi kufikia viwango vya kuwa tayari kupoteza maisha au kila kitu katika maisha yako kwaajili ya watu wako au nchi yako.
Nadhani umenielewa mkuu
Mkuu we acha tuUsinikumbushe jeneza. Nilibeba pack yenye vitofa( vya kuchoma 10. ) Combat imelowanishwa maji.
Nakumbuka Mzakwe! Mitunduru, kwa mbuzi. Quarter Guard ulinzi,Armourer, uwiiiiMkuu we acha tu
Hawajui watu tulitoka mpaka jasho la m.k.u*n*d#u#n#i kufika hapa tulipo haha.
Mi naomba kwenye uzii hui tu base ya jakata tu.
Haha sijui umenisoma vizuri mkuu?Hapana mkuu
Kwa hiyo asiyepitia jkt sio mzalendo halisi?
Kuna ile kampa kampa tena yaani unarudisha leo mashine jioni details zinakusoma tena uende Armourer kuchukua mashine haha. Kwanini usinuke mafuta ya bunduki? 😀 😀Nakumbuka Mzakwe! Mitunduru, kwa mbuzi. Quarter Guard ulinzi,Armourer, uwiiii
Kuna ile kampa kampa tena yaani unarudisha leo mashine jioni details zinakusoma tena uende Armourer kuchukua mashine haha. Kwanini usinuke mafuta ya bunduki? 😀 😀
Kuna siri za jandoni mkuu.Mkuu lakini hapo kuna kasoro
Mtu anabeba bunduki siku nzima na haina risasi!
What’s the point?
Kuna siri za jandoni mkuu.
Ok its like this, that depends on the location of kjs. Aliyoko 831 usimfananishe na aliyoko 821 mpakani kigoma huko ambapo warundi wanaovuka mipaka kuja kuiba ndani ya maeneo yetu wapo wengi. Narudia tena Siri za jandoni mkuu
Ulifundishwa kutumia singe. Corporal alipewa risasi 30. Kuruta tulipewa SAR Chinese 1956.Mkuu lakini hapo kuna kasoro
Mtu anabeba bunduki siku nzima na haina risasi!
What’s the point?
Ulifundishwa kutumia singe. Corporal alipewa risasi 30. Kuruta tulipewa SAR Chinese 1956.
Ndio maana yake mkuu. Ns wakati ule hali ya usalama ilikuwa 98%. Tulipewa sar tuzizoee tu. Brain washed.Sasa mkuu si bora unipe kisu ama panga kabisa kuliko bunduki isio na risasi
Ina maana huniamini ndio maana unanipa bunduki haina risasi
Ndio maana yake mkuu. Ns wakati ule hali ya usalama ilikuwa 98%. Tulipewa sar tuzizoee tu. Brain washed.
Sasa ulitaka uende guard na SMG mkuu? Ulipewa SAR ili uzoee kukaa na silaha kwanza. Ndiomana yaliitwa mafunzo ya awali ya kijeshi kabla ya RTS ambapo utaitumia SMG mpaka uichoke.Nimelinda sana guard
Unabebeshwa bunduki usiku mzima eti unalinda na bunduki haina risasi hata moja!
Namshukuru Mungu haikuibiwa
Sasa ulitaka uende guard na SMG mkuu? Ulipewa SAR ili uzoee kukaa na silaha kwanza. Ndiomana yaliitwa mafunzo ya awali ya kijeshi kabla ya RTS ambapo utaitumia SMG mpaka uichoke.