STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Waliniambia njia rahisi ya kumpata nick minaji nijiunge
facebook nikajiunga nikatuma friend Request
kilichonishangaza mda huo huo akaacept nikajiona
mimi ndio mimi.. Nikamfuata inbox nikamwambia
thanks for accept nick minaj haa eti akanijibu kaka
angu sijakuelewa mmh nikashangaa nick minaj kunijibu kiswahili akanijibu hamna STUNTER mimi naitwa
maimuna nakaa kirumba nampenda sana nick minaj
na ndio maana nimeweka picha zake.... Duuuh
nilimaindi sana hapo hapo nika mblock yaani mimi
najua nick minaj kumbe mtoto wa kirumba