Facebook unatumia jina gani?Waliniambia njia rahisi ya kumpata nick minaji nijiunge
facebook nikajiunga nikatuma friend Request
kilichonishangaza mda huo huo akaacept nikajiona
mimi ndio mimi.. Nikamfuata inbox nikamwambia
thanks for accept nick minaj haa eti akanijibu kaka
angu sijakuelewa mmh nikashangaa nick minaj kunijibu kiswahili akanijibu hamna STUNTER mimi naitwa
maimuna nakaa kirumba nampenda sana nick minaj
na ndio maana nimeweka picha zake.... Duuuh
nilimaindi sana hapo hapo nika mblock yaani mimi
najua nick minaj kumbe mtoto wa kirumba
kama mie mwaka wa 5 huu siko facebook.....Nimeshajitoa mkuu,
Yuko badoooDuuh, umekimbilia insta au?
Nimekimbilia jf tu......siko kwenye social network yyoyote......Duuh, umekimbilia insta au?
Hata badoo sipo......siko kokote .Yuko badooo
Natania dadangu, u mzima wewwHata badoo sipo......siko kokote .
Mie mzima kabisa.....sijui wewe.Natania dadangu, u mzima weww
Niko poa rafikiMie mzima kabisa.....sijui wewe.
mbna nakuona onlinekama mie mwaka wa 5 huu siko facebook.....
Aya weekend njema.Niko poa rafiki
Asante.....ingawa wengine wananishangaaa.....ila na enjoy maisha bila hizo fb sijui insta nk.Basi hongera
Mmmh online ya wapi?mbna nakuona online