Enzi hizo unamtongoza demu unampa na option ya kukufikiria jibu baada ya mwezi.

Enzi hizo unamtongoza demu unampa na option ya kukufikiria jibu baada ya mwezi.

Nikutokana na MAISHA kuwa magumu mkuu.

Ni ngumu MTU akuzungushe ikiwa anahitaji PESA zako sio rahisi.

Ila wapo decent girls ambao wanajua wanataka nini japo ni wachache Sana.
 
Daa " Naomba basi unifikirie, mi nakupenda sana, sina mpango wa kukuchezea, nielewe grace"

Grace: sawa nipe muda nifikirie"

Hapo unakua uko half ya safari
Na wewe pia unakuwa kwenye half ya kula 50 zako
 
Back
Top Bottom