Nelsweeter
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 141
- 68
Jamani kuna mtu yoyote ana information na huyu mtu (John Stephen Akhwari) yuko wapi na anafanya nini?. Watu kama hawa wanapaswa kutuzwa kwa uzalendo walionyesha hasa kwa kizazi chetu cha sasa. Jamani taifa letu limetoka mbali, wapi ujasiri ulikuwepo kipindi hicho?.
Last edited by a moderator: