Enzi hizo wakati wa uzalendo wa Taifa letu

Nelsweeter

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
141
Reaction score
68


Jamani kuna mtu yoyote ana information na huyu mtu (John Stephen Akhwari) yuko wapi na anafanya nini?. Watu kama hawa wanapaswa kutuzwa kwa uzalendo walionyesha hasa kwa kizazi chetu cha sasa. Jamani taifa letu limetoka mbali, wapi ujasiri ulikuwepo kipindi hicho?.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa video hii ndugu.


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…