Enzi hizo

Enzi hizo

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
NAKUMBUKA ZAMANI SANA ETI NA MIE NILIKUWAGA NAIGIZA UTANGAZAJI KAMA HIVI;
IFUATAYO NI TAARIFA YA HABARI MSOMAJI WENU NI MIMI MPWATWA MAJANGA LAKINI KWANZA NI MUHTASARI WAKE;
1.Serikali yawapeleka nyuki depo ili kuweza kulinda benki
2.Serikali yapiga marufuku ulaji wa udongo baada ya mama moja huko mbeya kujifungua tofali la kuchoma
3.mende 336 wamefikishwa mahakamani kisutu baada ya Kukutwa na vikaratasi mfukoni vilivyosomwa wamechoka na harufu ya choo
4.Afariki dunia kwa tone la jasho la kwapa
5.Babar yagundulika huko kisiwa cha ugoro
6.ameza punje ya mchele ajifungua ubwabwa
7.Waarabu 3000 wamefariki dunia baada ya kudumbukia Kwenye kikombe cha kahawa
8.Watu 2 wafikishwa mahakamani huko chanika baada ya kukutwa na magunia ya mbuu
unakumbuka wapi hii?hebu watag rafiki zako wa enzi hizo
 
Back
Top Bottom