*[emoji23]Enzi hizo shule kuna wanafunzi walikuwa wanaandika topic kwa kalamu nyekundu, sub topic kalamu ya nyeusi, na notes kalamu ya bluu.[emoji23] Sijui mko wapi siku hizi, au mlipata kazi sadolin?*
Enzi hizo naanza darasa la kwanza tulipewa ubao wa kuandikia na chaki za rangirangi kwa miezi sita. Baada ya kufungua mwezi wa saba ndo tunanza kuandika katika daftari la mwandiko na hesabu