Enzi za Awamu ya 4 " Mvuto" kilikuwa ni Kigezo cha Kuchaguliwa Kiongozi CCM, nadhani Sasa wameachana nacho!

Enzi za Awamu ya 4 " Mvuto" kilikuwa ni Kigezo cha Kuchaguliwa Kiongozi CCM, nadhani Sasa wameachana nacho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakumbuka pale Nzega Dr Kigwangalla alipitishwa Kwa kigezo cha kuwa na mvuto zaidi kuliko Lucas Selelii aliyeshinda

Wakati Ule Katibu mkuu alikuwa Mzee Makamba

Sidhani kama kigezo cha MVUTO bado kinatumika Kwenye Chaguzi za Sasa🐼

Sabato Njema
 
Yaani una utani na Mzee Steven Wassira? 😂😂😂
 
Sa hizi kigezo ni Uchawa na kugalagala kiulaloulalo na kugalauka kusifu na kuabudu kwa mkuu wa kaya
 
Unataka kusema kwamba Tyson hafai kwa nafasi hiyo kwa kuwa hana mvuto?
 
Nikweli mkuu, ndio maana Wasira hakupata teuzi/kuchaguliwa kipindi kile..😜
2005 dasalama Kila mahala zimebandikwa picha za JK, wamama wanazishangaa wanasema huyu baba handsamu🤣🤣😂😂🤔
Bongo kazi Sana...😳😀🤷🏿 JK alipita kwa kigezo hicho TU basi... Ile Ari mpya , Kasi mpya, nguvu mpya Wala haikuwa na nguvu kiivyo....
 
Back
Top Bottom