Enzi za Awamu ya 4 " Mvuto" kilikuwa ni Kigezo cha Kuchaguliwa Kiongozi CCM, nadhani Sasa wameachana nacho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakumbuka pale Nzega Dr Kigwangalla alipitishwa Kwa kigezo cha kuwa na mvuto zaidi kuliko Lucas Selelii aliyeshinda

Wakati Ule Katibu mkuu alikuwa Mzee Makamba

Sidhani kama kigezo cha MVUTO bado kinatumika Kwenye Chaguzi za Sasa๐Ÿผ

Sabato Njema
 
Yaani una utani na Mzee Steven Wassira? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nikweli mkuu, ndio maana Wasira hakupata teuzi/kuchaguliwa kipindi kile..๐Ÿ˜œ
 
Sa hizi kigezo ni Uchawa na kugalagala kiulaloulalo na kugalauka kusifu na kuabudu kwa mkuu wa kaya
 
Sa hizi kigezo ni Uchawa na kugalagala kiulaloulalo na kugalauka kusifu na kuabudu kwa mkuu wa kaya
Aiseeee! ndo maana mtumishi Lucas Mwashambwa siku hizi haweki namba yake ya simu. Huenda AMEFIKIWA.
 
Unataka kusema kwamba Tyson hafai kwa nafasi hiyo kwa kuwa hana mvuto?
 
Nikweli mkuu, ndio maana Wasira hakupata teuzi/kuchaguliwa kipindi kile..๐Ÿ˜œ
2005 dasalama Kila mahala zimebandikwa picha za JK, wamama wanazishangaa wanasema huyu baba handsamu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค”
Bongo kazi Sana...๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜€๐Ÿคท๐Ÿฟ JK alipita kwa kigezo hicho TU basi... Ile Ari mpya , Kasi mpya, nguvu mpya Wala haikuwa na nguvu kiivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ