ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Enzi zile Amina chipufa na Masood kipanya walikuwa ni watangazaji wa clouds wanawahoji watoto,enzi hizo old bongo hits wasanii wa Kali wakina Jay moe,ngwair,solo thang,Prof Jay,na wengine wengi wanakutana pande za makumbusho watoto wa sinza.produza majani umefanya kazi kubwa Sana kwenye bongo fleva.hip hop ilisimamia misingi, wasanii wengi walipewa nafasi ya kufanya tofauti na Sasa.