ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ndio iko hivo mkuu hela watakayopata wasanii wa 2030 hata hizi za sasa zitaonekana ndogo.Ila walikuwa hawapati hela kama wanazopata wasanii wa sasa hivi
Maaaaninaaa waaalahi!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wimbo nimeuskia jana kwenye Redio flani!! Niliikumbuka Manati yangu!! Siyo nyimbo ni mtiririko wa matusi aisee! Mi nadhani basata wanapaswa kuweka na adhabu ya bakora kabisa!! Samahani kwa kudandia mada!