Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Mama zetu, wanawake watu wazima, ambao hata biblia imewaasa kukaa na mabinti kuwafundisha juu ya kuomba na kuomboleza...ni muda umefika sasa wa kuwaambia binti zao ukweli wote.
Mimi sio writer mzuri naomba mnivumilie. Muwaambie mabinti mambo yafuatayo.
1. Kwenye mahusiano mpaka ndoa mabinti wajue wako na binadamu sio malaika. Kuna madhaifu tena mabaya sana ya wanaume yapo na wawe tayari kuyaface.
2. Wawafundishe jinsi ya kuface udhalimu wa mume. For instance kutukanwa na kimada, watoto wa nje, kulea mtoto wa mume zao la mchepuko. Tena wawaambie kuwa hayo mambo yapo na wawe tayari kuyaface.
3. Wawafundishe jinsi ya kuishi na mume. Maswali ya chokochoko hayafai. Ugomvi usio na sababu haufai. Ya mtandaoni yaishie mtandaoni yasibebwe nyumbani. Maswali yasiyojenga yasiulizwe. Wawaambie....
4. Wanaume wa kizazi hiki wanapenda sana utii kwa sababu ya utandawazi na wanawake wengi ni wasomi hivyo wanahitaji kuwa makini sana. Utulivu wa kinywa, hekima na busara, ucha Mungu moyoni sio usoni....vyote vinahitajika.
5. Sio kila jambo ni la kuongea. Mengine ni ya kuaangalia na kunyamaza. Wawe tayari kwa mambo kama haya. Kuna muda ukimya ni silaha kubwa sana. Zaidi labda wamshirikishe Mungu.
Kuna mambo mapya yaumizayo sana yanayowakandamiza wanawake lengo wasibaki kwenye ndoa zao na wanaume wanakuwa mawakala wa kuwaumiza wanawake hawa. Ili hawa wanawake ili mioyo ibaki salama wamuabudu Mungu na kuyafanya haya pia.. naamini watakaa sawa.
Na mengine mnawajua mabinti zenu mtawaambia.
NB: Siwatetei wanaume hapa nisinukuliwe vibaya. Mjiheshimu nyie wababa